Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Bi. Khadja Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Khadja Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.Disemba 5, 2018.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...