Mchezaji nyota wa Zamani wa klabu ya Yanga, Mzizima United na Taifa Stars, Hassan Goebles (Gobbos) amefariki dunia asubuhi hii jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa katika kundi la Whatsapp la wafanyakazi wastaafu wa Mamlaka ya Bandari, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza. Tutajulishana zaidi mara habari kamili za ratiba zitapopatikana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Innah lillah waina illah rajiun,allah akupe kaul thabit,akusamehe madhambi yako,akujaalie janatul firdous

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...