Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina Ursus, Mwenyekitiu wa Chama cha Msingi cha Mgundama, Bibi Getrude John katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Busisi wilayani Sengerema, Bibi Amina Makone katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta aina ya Ursus wakati alipokabidhi matrekta16 yenye thamni ya shillings bilioni 1.8 kwa wenyeviti wa baadhi ya Vyama vya Ushirika via Msingi mkoani Mwanza katika hafla fupi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Ugata wilayani Magu, Bw. Enock Ng'ombe katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...