Airtel kupitia UFADHILI WA AIRTEL TUNAKUJALI tunatoa nafasi kwa vijana 100 kusoma masomo ya ufundi kutoka chuo ya VETA kupitia simu ya mkononi BURE. Masomo haya yatatolewa kwa njia ya simu ya mkononi kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store Bure.

Mafunzo ya Vitendo yatatolewa katika vyuo vitatu vya VETA;
1. VETA KIPAWA- Dar es salaam
2. VETA Chang’ombe- Dar es salaam
3. VETA Dodoma- Dodoma

Masomo ya Ufundi yatolewayo ni;
1. Ufundi Umeme wa Majumbani
2. Ufundi Bomba
3. Urembo- Saluni za Kike
4. Upishi wa Vyakula na Kuhudumia Wateja (Catering Service)
5. Uokaji mikate na Vitafunwa

Kujisajili, Pakua Application ya VSOMO kupitia https://goo.gl/Dufimz , bonyeza kitufe cha AIRTEL TUNAKUJALI ili kujisajili.

Kwa maelezo Zaidi; 
Huduma Kwa Wateja: 0699 859 572/ 0699 859 573

Facebook Page: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.vsomo&hl=en

Instagram Page: https://www.instagram.com/vsomo_veta/

Website: http://www.vetakipawa.ac.tz/kipvsomo.php

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...