Mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala akimhudumia mteja wake leo jijini Dar es Salaam,ambapo bei ya kipande cha kuku ni kati ya sh. 1000/= mpaka 3500/=.
Sehemu ya kukaangia kuku katika soko la Kinyerezi wilaya Ilala kama inavyoonekana katika picha. Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakiendelea na shughuli zao mbalimbali katika soko hilo leo ambapo bei ya samaki wanauzwa kati ya sh. 2000/= mpaka 35,000/= (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).

Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala akimhudumia mteja wake leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...