Ofisa Uvuvi na Mifugo wa Manispaa ya Morogoro,
Mohamed Chamzhim (kushoto), aliyemwakilisha
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro katika uzinduzi wa Klabu ya Biashara ya Benki ya NBC
mkoani Morogoro, akishikana mikono na
Mjumbe wa Bodi ya NBC, Dk. Kassimu Hussein wakati akizindua rasmi klabu hiyo mkoani
humo jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru.
Ofisa
Uvuvi na Mifugo wa Manispaa ya Morogoro, Mohamed Chamzhim (wa tatu kushoto), aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
katika uzinduzi wa Klabu ya Biashara ya Benki ya NBC mkoani humo jana, akishikana
mikono na Mjumbe wa Bodi ya NBC, Dk. Kassimu Hussein katika uzinduzi wa klabu
hiyo Mkoani Morogoro jana. Klabu hiyo imeanzishwa
kusaidia mahitaji ya wafanyabiashara wadogo na wa mkoa huo. Kutoka kushoto
ni Mkurugenzi wa Biashara NBC, Elvis Ndunguru, Mkuu wa Kitengo cha
Wafanyabiashra wa kati na Wadogo, Evance Luhimbo na Meneja wa Tawi la NBC
Morogoro, Sophia Mwombelo.
Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashra wa Kati
na Wadogo wa Benki ya NBC, Evance Luhimbo akizungumza katika semina ya
siku moja iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo na wa kati Mkoani Morogoro jana. Semina
hiyo ilifuatiwa na uzinduzi wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mkoani humo.
Ofisa Uvuvi na Mifugo wa Manispaa ya Morogoro,
Mohamed Chamzhim (kushoto), aliyemwakilisha
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro katika uzinduzi wa Klabu ya Biashara ya Benki ya NBC
mkoani humo akikaribishwa na Mjumbe wa Bodi ya NBC, Dk. Kassimu Hussein wakati
akiwasili kuzindua rasmi klabu hiyo mkoani humo jana. Katikati ni Meneja wa
Tawi la NBC Morogoro, Sophia Mwombelo. Uzinduzi huo ulitanguliwa na
semina ya siku moja juu ya kuwajengea uwezo wafanyabiasha wadogo
na wa kati.
Ofisa Biashara Mwandamizi Taarifa za
Biashara na Takwimu kutoka Mamlaka ya Biashara Tanzania (Tantrade), Magdalena
Shirima akitoa elimu kuhusu fursa za masoko ya nje ya nchi katika semina ya
siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo
na wa kati Mkoani Morogoro jana. Semina hiyo ilifuatiwa na uzinduzi wa Klabu ya
Biashara ya benki hiyo mkoani humo.
Ofisa Biashara wa Asasi ya Kusaidia
Uwekezaji kwenye Kilimo (PASS), Irene Benedicto akizungumza katika semina
ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wadogo na wa kati
Mkoani Morogoro jana. Semina hiyo ilifuatiwa na uzinduzi wa Klabu ya Biashara
ya benki hiyo mkoani humo.
Ofisa Mkuu Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), Julius Mjenga akitoa elimu kuhusu kodi katika semina
ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo
na wa kati Mkoani Morogoro jana. Semina hiyo ilifuatiwa na uzinduzi wa Klabu ya
Biashara ya benki hiyo mkoani humo.
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia
mada katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja
wake wafanyuabiashara wadogo na wa kati Mkoani Morogoro jana. Semina hiyo
ilifuatiwa na uzinduzi wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mkoani humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...