Angelina Kihamia mtoto wa marehemu Prof.  Charles Kihamia akilia kwa uchungu katika ibada ya misa yakumbukumbu ya maisha ya mpendwa baba yake iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 30, 2019 Sykesville, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki. Prof Charles Kihamia alifariki siku ya Jumatatu Novemba 25, 2019 baada ya kuugua ghafla siku ya Ijumaa Nov 22, 2019na kukimbizwa hospitali ya Carrol iliyopo  Westminster, Maryland na kupatwa na umauti usiku wa kuamkia Jumatatu. 
PICHA ZOTE NA VIJIMAMBOBLOG,
Mchungaji Shideko akiiweka katika maombi familia ya marehemu.

Mwinjilisti Jacob Mirere (kushoto) pamoja nae mchungaji Shideko wakiongoza ibada ya misa ya kumbukumbu ya maisha ya prof. Charles Kihamia.

Familia ikijiandaa kuingia na mwili wa mpendwa wao kanisani,
Mchungaji Shideko akiiongoza famiia kuingia na mwili kanisani.
Familia ikiingia kanisani na mwili wa mpendwa baba yao.
Familia ya marehemu ikifuatilia ibada.

Ibada ikiendelea.
Ibada ikiendelea
Familia ikifuatilia ibada kwa makini.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Familia ikiwa kwenye ibada ya misa ya kumbukumbu ya maisha ya mpendwa baba yao.
Wapili toka kusho ni mke wa marehemu pamoja nae kushoto kwake ni mtoto wa marehemu Angelina Kihamia.
Baadhi ya wanakamati wakipanga mikakati kabdla ya ibada ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba kuanza.
Juu na chini ni kwaya ya kanisa la injili njia ya msalaba ikitumbuiza moja ya nyimbo za injili kwenye ibada hiyo
Mmoja ya wanafamilia Sully akisoma somo la kwanza.
Mubelwa Bandio akisoma somo la pili 
 Dennis Mwashumbe mmoja ya wanafamilia akisoma wasifu wa marehemu na kutoa shukurani za dhati kwa waTanzania ukiwemo Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,
Afisa Utawala na fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swhiba Mndeme akitoa salamu za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kutoa pole kwa wafiwa.
Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Dj Luke kwa niaba ya uongozi wa Jumuiya akiwapa pole wafiwa nakuwasihi waTanzania wanaoishi nj,  kujenga utamaduni wakujumuika pamoja.
Mr. Manase Julius akitoa salam za mchungaji Mbatta na kutoa pole kwa familia kwa niaba ya kanisa la Kilutheri ibada ya kiswahili lililopo Rockville, Maryland.
 Mwanafamilia Sully akielezea jinsi alivyokua akimfahamu marehemu.
 Mwenyekiti wa TAMCO Ally Mohamed akitoa pole kwa wafiwa kwa niaba ya Jumuiya ya Waislaam, DMV.
Mchungaji Shideko akihitimisha ibada
Dennis Mwashumbe akitoa maelekezo baada ya ibada.
Katibu wa kanisa la jnili njia ya msalaba, Bwn. Amos Cherehani akitoa pole kwa niaba ya kanisa na kutoa mwongozo na anuani ya kanisa lao.
Picha juu na chini kutoa heshima zamwisho.
Picha juu na chini ni nyumbani kwa wafiwa wakati wa chakula na harambee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...