Halima Ali (kulia) akiwa kwenye kisomo cha Hayati Bi. Ashura Ali Mzee kilichofanyika siku ya Jumamosi Dec. 30, 2019 Silver Spring, Maryland na kuhudhiriwa na waTanzania na marafiki zao waishio DMV. Kushoto ni Bi. Asha Hariz mmoja wamarafiki waHalima.
Ustaadhi akitoa mawaidha baada ya kisomo.
 WaTanzania wakihudhuria kisomo cha Bi. Ashura Ali. Mzee.
  WaTanzania wakihudhuria kisomo cha Bi. Ashura Ali. Mzee.
Kushoto ni Mabenzi akiwa pamoja nae Makeo wakifuatilia kisomo.


Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

You are subscribed to email updates from VIJIMAMBO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...