Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Profesa Joseph Semboja akizungumza katika kikao cha Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki hiyo kwa ajili ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki hiyo.Pembeni yake ni Kaimu Mkurugenzi  Ndugu Ruth Zaipuna.

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ndugu Ruth Zaipuna akizungumza katika kikao cha Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki hiyo kwa ajili ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki hiyo.Pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Profesa Joseph Semboja.
Wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha kamati Bungeni Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki ya NMB kwa ajili ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki hiyo.Pembeni yake ni Katibu wa Kamati, Elieka Saanya.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Raphael Chegeni akizungumza katika kikao cha kamati Bungeni Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki ya NMB kwa ajili ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki hiyo.Pembeni yake ni Katibu wa Kamati, Elieka Saanya.
PICHA NA OFISI YA BUNGE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...