Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Isack Kamwelwe ( wa kwanza kushoto) akiweka rasmi jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika wakati wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Umoja huo yalifanyika leo tarehe 18/01/2020 jijini Arusha. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...