Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Uganda, John Ndungutse katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Saalaam baada ya kufungua mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga  mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) katika hotel ya Golden Tulip. Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga  mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati mbalimbali za  Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) baada ya ufunguzi wa mkutano huo ulioshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...