Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akiwasili katika Majengo mapya ya nyumba za Askari Magereza pamoja na Kiwanda cha Ukonga, alipofanya Ziara ya Ukaguzi katika eneo hilo, jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua majengo ya Jeshi la Magereza  akiwa pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wapili kushoto), akikagua Ujenzi wa nyumba za Askari Polisi Mradi wa Dar City Mikocheni pamoja na Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua Jengo la Zimamoto na Uokoaji lililopo Mchicha, akiwa pamoja na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, alipofanya Ziara ya Ukaguzi, jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...