Munonekano wa Barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Da es Salaam ujenzi wa barabara hiyo unaendelea kwa kasi.
Ujenzi wa barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana kwenye picha.

Mafundi wa wakiendelea na kazi za ujenzi wa barabara wa Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama wanayoonekana katika picha.
(Picha zote na Emmanuel Massaka)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...