Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, leo Febuari 25,2020 amekamilisha ahadi yake aliyoitoa kwa
Wananchi wa Kijiji cha Mpugizi kata ya Mwaru Mkoani Singida kwa kumkabidhi
fedha Taslim Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Immanuel Kingu
kwa ajili ya kununulia Mabati Mia mbili ya kuezekea Zahanati ya Kijiji hicho.(picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...