Ujumbe wa maseneta sita
(6) kutoka Ufaransa unatarajiwa kufanya ziara nchini kuanzia tarehe 01 hadi 08
Machi, 2020.
Ujumbe huo utawasili nchini
tarehe 29 Februari, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman
Karume Zanzibar utaongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ufaransa
inayoshughulikia masuala ya Maendeleo Endelevu na Naibu Rais wa Kikundi cha
Kirafiki na nchi za Bahari ya Hindi Seneta Harve Maurey.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...