Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, unaoendelea katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,alipowasili kufungua Mkutano huo ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020,uliofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
Waziri wa Madini wa Uganda, Mhe. Sara Opendi, akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof.Simon Msanjira akitoa utambulisho wa Viongozi na Wageni mbalimbali kutoka mataifa waliohudhuria Mkutano wa Uwekezaji wa Madini Tanzania 2020 uliofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
Mmoja wa watoa Maada kuhusu madini katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Madini Tanzania 2020, ambaye pia ni Kamishina wa Tume ya Madini, Prof.Abdulkarim Mruma akizungumza katika mkutano huo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Februari 21, 2020.
Kutoka kushoto Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko, Waziri wa Madini wa Uganda, Mhe. Sara Opendi, Balozi Ambeyi Ligabo, Naibu Waziri Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini(TAMIDA), Bw.Sammy Mollel wakifuatilia Makala kuhusu sekta ya Madini Tanzania iliyooneshwa katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Madini Tanzania 2020 uliofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania inatarajia kuzindua cheti cha uhalisia ili kuwezesha usafirishaji wa Madini ya Bati.
Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Viongozi wengine Washiki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania 2020, wakifuatilia Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Februari 21, 2020.
Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania,2020 (Pichani) wakifuatilia Mkutano huo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...