Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu Ofisa Tabibu Wilson Koweli Chota Mganga kutoka kijiji cha Uturo, Mbalali, Mbeya, katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokeTuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika sekta ya Afya nchini toka kwa Rais wa Chama hicho Dkt. Elisha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia Tuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya nchini huku Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile akishangilia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
 PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...