Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,wakati wa  kikao cha uongozi wa Wizara hiyo,kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) na Mshauri wa Rais masuala ya Fedha na Uchumi Bw.Abdulrahman Mwinyi Jumbe.
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali katika Wizara hiyo wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019, kilichofanyika leo ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar.
 Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,iliyosomwa katika kikao maalum kilichofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo  Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 Makamishna mbali mbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baars la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Wizara hiyo kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Nd,Mwita Mgeni Mwita (kulia).
Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baars la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). (Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...