RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar..(kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji  Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasilishwa kwa Taarifa ya Utekelezaji  Mpango Kazi  kwa  mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na  Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed  Shein, akimsikiliza Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Maudline Castico, akiwasilisha  taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar. Mhe, Maudline Castico akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Wizara yake kwa mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kushoto) Katibu Mkuu Jiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kulia) Naibu Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar. Mhe. Shadya Mohammed.(Picha na Ikulu)
 BAADHI ya Maofisa  Idara mbalimbali za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatila mkutano huo wa uwasilishaji wa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020. Uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 KATIBU Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bi. Fatma Gharib Bilal akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kuazia mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani)  kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)
 BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kuazia mwezi  wa Julai hadi Disemba  2019 /2020, wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo akiwasilisha taarifa hiyo, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)     
 MKURUGENZI Idara ya Mikopo Ndg. Suleiman Ali akijibu maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

  AFISA Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji wa Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg Hakim Vuai Shein, akijibu maswali wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020 , uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
 MKURUGENZI Idara ya Uwezeshaji  Ndg. Ameir Haji Sheha akijibu  masuali yalioulizwa wakati wa mkutano wa  Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...