RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,  wakati wakiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri.(Picha na Ikulu)
 BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakifuatilia  mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yao kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 hadi 2020. Uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
 BAADHI ya Wakuu Mikoa ya Unguja na Pemba wakifuatilia mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yao kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) 
 MKURUGENZI wa Jiji la Zanzibar Ndg Ali Khamis Juma wa kwanza  akiwa na Maofisa wa Idara mbalimbali za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Bi.  Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani) akiwasilisha taarifa hiyo.
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri . akiwasilisha muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa  Wizara yake  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
 BAADHI ya Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatila  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wakati Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Bi. Radhia Rashis Haroub,(hayupo pichani) akiwasilisha taarifa hiyo katika mkutano huo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 KATIBU Mkuu  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Bi. Radhia Rashid Haroub akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa  kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba.2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukingozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
 KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Ndg. Saleh  Mohammed Juma, akijibu swali wakati wa mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa  mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
 
 MKUU wa Wilaya ya Mjini Unguja Bi. Marine Joe Thomas akijibu swali  wakati wa mkutano wa Utekelezaji  Mpango Kazi  kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kwa kipindi cha  mwezi Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukingozwa can Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani)
 
 MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akijibu swali wakati wa mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
 KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Kaskaziniu Unguja Ndg. Omar Hassan Masoud  akitowa maelezo wakati wa mkutano wa kuwasilisha Taarifa za Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maaluim za SMZ. Uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Katibu Tawala wa Wilaya Ndogo ya Tumbatu Ndg. Khatib Habib Ali, akitowa maelezo wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi  wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)   

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...