Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akiangalia mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akimuonyesha Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi Tunu Ng’ondya  mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru  wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salum Hamduni, akisoma taarifa fupi iliyobandikwa ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika,kulia ni  Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi Tunu Ng’ondya, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...