Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Jeshihilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka viongozi hao wawakikishe wanawahoji watuhumiwa waliopo katika mahabusu ya vituo vyapolisi nchini ili kujua makosa waliyoyafanya kama wanastahili kuwepo katikamahabusu hizo. Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Bajeti, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Justus Kamugisha, alipokuwa anazungumza katika Kikao cha WatendajiWakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jeshihilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka viongozi haowawakikishe wanawahoji watuhumiwa waliopo mahabusu ya vituo vya polisinchini ili kujua makosa waliyoyafanya kama wanastahili kuwepo katikamahabusu hizo, akiwa na lengo la kudhibiti wanaobambikiziwa kesi. Kushoto niInspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikilizaInspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro alipokuwa anazungumza katika Kikaocha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, kilichofanyika Ukumbi waMikutano wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewatakaviongozi hao wawakikishe wanawahoji watuhumiwa waliopo katika mahabusu yavituo vya polisi nchini, ili kujua makosa waliyoyafanya kama wanastahili kuwepokatika mahabusu hizo, akiwa na lengo la kudhibiti wanaoambikiziwa kesi. Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kabla ya kuanza kikaocha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, kilichofanyika katika ukumbi wamikutano wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akimuagaInspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, baada ya kumaliza kikao cha WatendajiWakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano waJeshi hilo, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati meza kuu),akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, katika ukumbi wamikutano wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewatakaviongozi hao wawakikishe wanawahoji watuhumiwa waliopo katika mahabusu yavituo vya polisi nchini na kufanya mchujo kwa kuwahoji watuhumiwa waliopokatika vituo mbalimbali vya polisi nchini, ili kujua makosa waliyoyafanya kamawanastahili kuwepo katika mahabusu hizo. Kushoto ni Inspekta Jenerali waPolisi, Simon Sirro. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...