Mkurugenzi wa Asasi inayojishughulisha na Usalama Barabara ya Amend Tom Bishop akizungumza wakati wa halfa hiyo. |
Mwawakilishi wa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Abdurahaman Shiloo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mzingani na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu,Afya na Mazingira wa pili kutoka kushoto akikata utepe wakati wa uzinduzi huo.
Mwakilishi wa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Abdurahaman Shiloo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mzingani na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu,Afya na Mazingira wa pili kutoka kushoto akikata utepe wakati wa uzinduzi huo.
Meza Kuu wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi huo
Sehemu ya wanafunzi wa shule za Msingi Chuma, Masiwani,Kana na Shule ya Sekondari Maawal
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto akiwa na Mwakilishi wa Meya wa Jiji la Tanga Abdurahaman Shiloo akiwa na Mkuu wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga Solomon Mwangamilo wakati wa uzinduzi wa mradi wa usalama barabara kwa shule za msingi na sekondari Jijini Tanga.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...