Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akizungumza na wageni waalikwa na wafanyakazi wa Vodacom mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo
 Msimamizi wa duka jipya la Vodacom Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar es salaam, Devota Kijogoo akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa duka hilo.
 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akikata keki na  Devota Kijogoo  huku akishuhudiwa na  wafanyakazi wa duka hilo.
 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akimlisha keki mteja wa Vodacom, Neema Lazaro mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo.
 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata (kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo.  Kushoto kwake ni Msimamizi wa duka hilo, Devota Kijogoo na wafanyakazi wa kampuni hiyo. Duka hilo  linatoa huduma zote za Vodacom ikiwamo taarifa mbalimbali za bidhaa zake.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...