Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa Kwenye Msikiti wa Mujahidina  eneo Buzebazeba mjini Kigoma, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi  baada ya kushiriki Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Mujahidina, eneo la Buzebazeba mjini Kigoma, Februari  21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...