Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisalimiana Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo, kwa ajili ya ziara ya kikazi.  Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan (kulia), na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, baada ya Makamishna hao kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...