Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji (ACF)
Gilbert Mvungi, akizungumza na Maafisa na Akari wa Jeshi hilo wakati wa
ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo Maafisa na Akari wa
Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi
za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na
kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa kushirikiana
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Meneja wa Uwanja wa Ndege Jijini
Dodoma Bertha Bankwa (wapili kulia), akimshukuru Kamanda wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na
Uokoaji (ACF) Gilbert Mvungi (watatu kulia), Kamishna Msaidizi wa Jeshi
hilo ambaye ni Mkuu wa Zimamoto na Uokoaji Viwanja vya Ndege nchini
(ACF) Bakari Mrisho (watatu kushoto), Kamishna Msaidizi Mstaafu wa Jeshi
hilo (ACF) Christom Manyologa (kulia) kwa kuona haja ya kuandaa mafunzo
hayo kwani yataongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa Maafisa na
Askari hao. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi za Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na kuratibiwa na Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji.

Sehemu ya Maafisa na Akari wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma wakati
wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo
yanafanyika katika Ofisi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha
Ndege jijini Dodoma na kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini
(TAA) kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji (ACF)
Gilbert Mvungi (watatu kulia waliokaa), Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na
Uokoaji ambaye ni Mkuu wa Zimamoto Viwanja vya Ndege nchini (ACF)
Bakari Mrisho (watatu kushoto waliokaa), Meneja Uwanja wa Ndege Jijini
Dodoma Bertha Bankwa (wapili kulia waliokaa), Kamishna Msaidizi Mstaafu
wa Jeshi hilo (ACF) Christom Manyologa (kushoto), Mratibu wa mafunzo
Uwanja wa Ndege Dodoma Swalha Soka (wapili kushoto waliokaa), Mkuu wa
Kituo cha Zimamoto na Uokoaji Uwanja wa Ndege Dodoma Liberatus Monella
(kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa na Askari wa Jeshi
hilo, baada ya Kamanda wa Mkoa wa Dodoma wa Jeshi hilo, kufungua mafunzo
ya siku tano ya kuwajengea uwezo Maafisa na Akari wa Kiwanja cha Ndege
Jijini Dodoma.
…………………………………………………………………………………………………
Mafunzo hayo yanafanyika katika
Ofisi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na
kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa
kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Aidha imeelezwa kuwa mafunzo
hayo yataendelea kwa siku tano mfululizo, na zaidi ya Maafisa na Askari
30 watanufaika na mafunzo hayo pia yataendelea kwa Mikoa mingine kote
nchini.
Taarifa ya Jeshi hilo imeeleza
kuwa dhumuni la mafunzo hayo kuhakikisha Maafisa na Askari wote
wanaohuduma Viwanja vya Ndege kote nchini wanapatiwa mafunzo ya aina
hiyo kwa awamu hasa katika kipindi hiki tunapoelekea Tanzania ya Uchumi
wa kati unaotegemea Viwanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...