Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji baada ya Nchini humo kuvamiwa kwa kambi za Jeshi na vituo vya Polisi pamoja na Mabenki nchini Msumbiji siku ya tarehe 23/03/2020. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akiwatia Moyo Askari waliopangwa kufanya Doria maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mtwara baada ya kutokea kwa uvamizi wa vituo vya Polisi, Kambi za Jeshi na Mabenki huko nchini Msumbiji. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...