Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) 39 KJ -Kiteule cha Loliondo,kulia ni Mkuu wa Brigedi ya 303,Brigedia Omary Majani.
Kamishna wa uhifadhi wa Tanapa,Dk Allan Kijazi akipanda mti wa kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Loliondo
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kushoto) akimsikiliza Kapteni Fadhil Mbulu ambaye ni mhandisi wa ujenzi wa Kiteule cha JWTZ Loloindo wilayani Ngorongoro.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) akiwalishwa shuka ikiwa ni zawadi ya kutambua mchango wa taasisi hiyo kwa jamii ya wafugaji.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mbukeni Kata ya Arash wilayani Ngorongoro katika ziara yake ya siku tano.

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Mbukeni Kata ya Arash wilayani Ngorongoro katika ziara yake ya siku tano.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...