Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge ofisini kwake Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Ndg. Matuka Kessy
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Lusubilo Mwakabibi (wa pili kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Wageni wengine ni walioambatana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Lusubilo Mwakabibi alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Lusubilo Mwakabibi (wa pili kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Wageni wengine ni walioambatana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...