Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee akichangia jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mawaziri Mbali mbali washiriki Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...