Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akinawa mikono kabla ya kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma leo, kuendelea na majukumu yake, ikiwa ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa vitendo nakusisitiza askari wote kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa
wa Corona (COVID –19).

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...