Mkuu wa kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Thereza Majinge (kulia) akimkabidhi Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Elisha Osati (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya TZS Milioni 30,  ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa homa ya virusi vya Corona (Covid 19). Makabidhiano hayo yalifanyika katika makao makuu ya Benki ya Stanbic Dar es Salaam wiki hii. Katikati ni Katibu Mkuu wa MAT Dkt Lilian R. Mnabwiru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...