Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mchango wa vifaa
vya kuendeshea mikutano kwa njia ya video ambavyo ni cloudlink camera
tatu, Cloudlink Mic tatu, Cloudlink TV terminal tatu, Cloudlink Platform
pamoja na Thermal Imaging Temperature Measuring System sita vyote
vikiwa na thamani ya sh. milioni 940 Kutoka kampuni ya TEHAMA ya
HUAWEI,kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za
Serikali za kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu - COVID-19.
Pichani, Waziri Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa
Kampuni hiyo, Zhou Xu (wa tano kulia), Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Wu
tao (kushoto) na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, George Mwakyembe. Wa
nne kulia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko, wa pili kulia ni Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt.
Faustine Ndugulile
Home
HABARI
TAARIFA
HUAWEI YATOA MCHANGO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KORONA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...