''Na leo pia hatuna case mpya za COVID19.  Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama  amepona. Wagonjwa wengine 15 waliobaki wanaendelea  vizuri.

Nitumie fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ili kujikinga na Ugonjwa huu ikiwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka. Sasa pia tuongeze nguvu ktk kuepuka misongamano/mikusanyiko. Tuzingatie kukaa umbali wa mita 1 kati ya mtu na mtu."-Waziri @wizara_afyatz Mhe @ummymwalimu  amesema. #JikingeWakingeWengine #PamojaTunavukaSalama@wizara_afyatz @elimu_ya_afya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...