Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa
katika Taasisi hiyo Elizabeth Omari zawadi ya Pasaka wakati wa ugawaji wa
zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam
Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya
huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Wilson
Willium wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam
Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya
huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Silvanus
Brayton wakati wa ugawaji wa zawadi hizo
kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam
Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Teresia Marombe na Rehema Bakari wakimkabidhi
mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Ikram Samari
zawadi ya pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es
Salaam
Picha na: Genofeva Matemu - JKCI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...