Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu ya   Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.
 Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.
 Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akijibu swali la mmoja wa Watumishi wa Wizara hii alipotaka kujua jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...