Aina mbalilmbali za barakoa zimeonakana katikamitandao ya kijami huku kukiwa na maelezo mbalimbali huku baadhi zikionekana si salama kwa afya lakini watu wameonekana wakizitumia.
Hii sasa..


Kwa upande wa hii sijui kama ni kwaajili ya kujikinga na virusi vya Covid -19. 



Vidumu vya maji navyo vimeonekana kutukika kama Barakoa. 
 Majani ya Moga aina Kabichi nayo imetumika kama Barakoa

 Cha Msingi ni kujikinga na kuonekana kuwa umevaa Barakoa.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...