![]() |
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Nchini, Dkt. Anna Makakala akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji ambapo ametoa salamu za shukurani kwa Rais Dk. John Magufuli na Viongozi wote wa Serikali wa Awamu ya Tano kwa kuwezesha kujengwa Nyumba hizo, Jijini Dodoma |
![]() |
Baadhi ya Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji wakifuatilia hafla ya kukabidhiwa Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya hiyo, yaliyofanyika eneo la Iyumbu, Jijini Dodoma.
|
Baadhi ya Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji, zilizopo eneo la Iyumbu ambazo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua na kukabidhiwa Nyumba hizo 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...