Na Zainab Nyamka

TIMU ya Namungo ya Lindi imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Azam Sporta Federation CuP ASFC.

Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa Majaliwa Ruangwa, Namungo wamefanikiwa kuibuka na ushindu wa goli 2-0 dhidi ya Alliance 

Baada ya matokeo hayo, Namungo wanasubiri mshindi kati ya Sahare All Stars dhidi ya Ndanda utakaochezwa kesho Mkoani Tanga.

Mchezo wa pili wa ASFC unapigwa majira ya saa 1 usiku kati ya Yanga na Kagera katika Uwanja wa Taifa ambapo mshindi wa mchezo huo atamsubiri Mshindi kati ya Simba na Azam.

Simba atacheza kesho dhidi ya Azam katika Uwanja wa Taifa majira ya saa 1 usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...