. Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa.
PIX2. Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani. (Picha  na  MAELEZO).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...