Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara
ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo
hilo leo Maisara Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na
Nishati hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na
Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud
Twalib (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA Nd,Haji Kali Haji (wa pili
kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali
Khalil Mirza wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za jengo jipya la
Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati mara baada ya kulifungua jengo
hilo leo liliopo Maisara Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA Nd,Haji Kali Haji wakati
alipotembelea jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati
mara baada ya kulifungua rasmi jengo hilo leo liliopo Maisara Mjini
Zanzibar

Waalikwa mbali mbali waliohudhuria
katika Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na
Nishati lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Maisara Mjini
Zanzibar.

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo
jipya la Wizara hiyo lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Maisara Mjini Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza alipokuwa akitoa
taarifa ya kitaalam katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara
hiyo lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Maisara Mjini
Zanzibar.

Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji
na Nishati Mhe.Salama Aboud Twalib alipokuwa akimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) kuzungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo
jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati uliofanyika leo
Maisara Mjini Zanziba,(kushoto) Mshauri wa Waziri Nd,Mwalimu Ali
Mwalimu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali
mbali Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati
katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la Wizara hiyo leo Maisara Mjini
Zanzibar,(katikati) Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Salama Aboud Twalib na
Naibu wake Mhe.Juma Makungu Juma(kulia).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na
Viongozi mbali mbali Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya
Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la
Wizara hiyo leo Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...