Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo (hawapo pichani) katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo pichani) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (Meza Kuu) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko, Albert Nyamhanga (Kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (hayupo pichani) kwenye Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021, Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Emmanuel Kayuni. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Marlin Komba (Wa kwanza kushoto) akifafanua jambo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (hayupo pichani) kwenye Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021, Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo pichani) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...