Na Dixon Busagaga,Moshi

Miongoni mwa waliochukua fomu kutafuta ridhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  kwa Jimbo la Vunjo ni kijana na kada mtiifu wa CCM ,Victor Anold Makundi akiwa na umri wa miaka 26 pekee miongoni mwa makada wengine 30 waliojitokeza kuchukua fomu akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB ,Dkt Charles Kimei anayetoka kata ya Mamba Kaskazini.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...