Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv. 
 Hali inazidi kuchangamka na kunoga zaidi pale ambapo wasiotarajiwa wanapoonekana kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu mwaka huu, Miongoni mwao ni pamoja na Ndg. Slay Joash maarufu kama DJ SLAY wa Kasibante FM, Bi. Oliver William Shayo kutoka Moja ya Benki hapa nchini akiwania nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Mkoa wa Kagera Kupitia Jumuiya ya Wanawake (UWT). Bi Oliver ameonekana ofisi za CCM Mkoa Kagera akichukua fomu hiyo wakati akisindikizwa na mumewe DJ Slay.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...