Na  Emmanel Massaka wa Michuzi Tv
WAJASIRIAMALI  wa matunda katika maeneo mbalimbali ya  jijini Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa matunda yameongezeka, huku wakibainisha wazi bei ambazo wanauza kwa wateja wao. 

Wakizungumza leo na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam wajasiriamali  hao kuhusu bei ya matunda katika  maeneo yao ya biashara. Bei hizo ni kama ilivyo hapo chini.Bei ya Embe katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam ni kati ya Sh.500 hadi Sh.1000. Bei ya Machungwa katika maeneo mbalimbali ya  jijini Dar es Salaam yanauzwa kati ya sh. 50 hadi 100.Bei ya Tikitiki maji ni katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam ya Sh.1500 hadi Sh. 3500.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...