Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akianza kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...