Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Serikalini  Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Dorina Makaya (wa pili kushoto) na Meneja Msaidizi Kanda ya Kati, Patricia Manonga ( wa tatu kulia), wakiwa na baadhi ya  watumishi wa wizara hiyo, Taasisi na vyuo wakisherehekea ushindi walioupata baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi wa kwanza katika kundi la sekta ya uchumi na uzalishaji wakati wa kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati kwenye viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia maswala ya Walemavu mhe. Stella Ikupa ( wa kwanza kulia) akimkabidi cheti kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii  Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Serikalini Bi. Dorina Makaya  (mwenye T-shirt nyeupe) na Bi. Patricia Manonga (wa kwanza kushoto) kwenye halfa ya kilele cha Maonesho ya Nane Nane  jijini Dodoma.Attachments area
 Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Serikalini Bi. Dorina Makaya (kulia) na Mratibu wa Maonesho ya Nane Nane (kushoto) wakiongoza wadau kuingia banda la wanyama kwenye Maonesho ya Nane Nane  jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...