Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali wa Benki ya NCBA, Gift Shoko akipiga mpira kwenye mashindano ya gofu ya NCBA yaliyofanyika viwanja vya Sea cliff Zanzibar. Mashindano hayo yameenda sambamba na uzinduzi wa tawi la benki hiyo mtaa wa Mlandege mjini Zanzibar na kushirikisha zaidi ya wachezaji 70.


 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania Limited, Margaret Karume akipiga mpira kwenye mashindano ya gofu ya NCBA yaliyofanyika viwanja vya Sea cliff Zanzibar. Mashindano hayo yameenda sambamba na uzinduzi wa tawi la benki hiyo mtaa wa Mlandege mjini Zanzibar na kushirikisha zaidi ya wachezaji 70.


 Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar, Mhe. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank, Margaret Karume (kulia), Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko wakimkabidhi zawadi mshindi wa jumla wa mashindano ya NCBA Golf Tournament Zanzibar, Ross Owen. Mashindano hayo yameenda sambamba na uzinduzi wa Tawi la Benki ya NCBA mtaa wa Mlandege, hafla ya sherehe ilifanyika Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar.

 

 

 

 

 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...