Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa ameambatana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta wakiwasili katika Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha  Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa  Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  (wa pili kushoto) akimpatia zawadi Mwanafunzi Bora kwa Wahitimu wa kozi zote za Shahada wa  Chuo cha Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Bw. Robin Micky Goliama wakati wa  Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka  kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Tadeo Satta, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema na Mwakilishi wa Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Mkurugenzi wa Mipango katika Wizara ya Fedha, Bw. David Mwankenja.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na  Mkuu wa Chuo cha  Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Prof. Tadeo Satta (kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Prof. Emmanuel Mjema (kushoto) wakati wa  Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Menejimenti  na Wanafunzi Bora katika kozi mbalimbali wa   Chuo cha Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa  Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

 

PICHA NA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...